Ratiba

Tupo wazi kila siku tangu saa 2asb-12jioni
Ratiba za kufungua mzigo mpya ni kila jumamosi saa 5:00 asb

Fika ujipatie skirt penseli,mikoba ,mabegi,blowse na jeans za ukweli kutoka Korea. Soda na maji vitatolewa bure!!

Njoo Uone.....

Njoo Ushuhudie!!!

No comments:

Post a Comment

Thank you.please visit again!!