Wednesday, February 19, 2014

jumamosi hii

mazawadi fashion jmos wk hii watafungua mali mpya vikiwemo shfon,skirt pencil viatu na pamba nyingine kibao kutoka korea.msikose!!

Monday, January 13, 2014

Buriani Dada Yetu Lucy

Haya ni baadhi ya matukio yalojiri katika msiba wa mpendwa wetu lucy,eneo la Maili Mbili Dodoma katikati ya wiki hii!

Thursday, January 9, 2014

Mzigo Mpya

UTANGULIZI

KARIBUNI WATEJA NDANI YA MAZAWADI FASHION REHEMA NCHIMBI COMPLEX NDANI YA DOM. JUMAMOSI TUNAFUNGUA MZIGO MPYA SAA 5 ASB.KUNA SHIFON COATS,SILK BLOWSE (ZA KISASA) NA SKIRT PENSELI.KUNA SODA ZA BURE PAMOJA NA MAJI KARIBUNI SANA. NJOO UONE.......NJOO USHUHUDIE!!!